TAMBUA UWEPO WAKO KWA KUUNGANA NA MTUMISHI WA MUNGU MASUNGA

TAMBUA UWEPO WAKO. habar ya muda huu mpendwa unaesoma ujumbe huu. kutambua kitu alichokuumbia mungu hapa ulimwenguni inahitaji upeo wa ziada. watu wengi tumeshindwa kufika mafanikio kwasababu hatujui tupo hapa kwa kusudi gani. ninae rafiki mmoja alikuwa akipenda sana kuwa faza wa kanisa toka akiwa mdogo. alisoma kwa bidii sana na alipohitimu kidato cha sita kutokan na uwezo wak mkubwa katka kupambanua hoja waalimu wake walimshauri akasome sheria. kweli alichukua shahada ya sheria na akaajiriwa kama mwanasheria na benk moja kubwa hapa nchini. baadae akashauriwa na wenzake kuwa anauwezo mkubwa san kweny maswala ya uongoz hivyo aliamua kwenda kusoma shahada ya pili hii alisoma utawala na baadae akaajiriwa na taasisi moja isiyo ya kiserikali. hata hivyo alichotegemea kukipat eti kwakuwa na elimu kubwa hakukipata hatima yake mshahar haukutosha aliamua kuanza kuingia kweny mikopo. alinunua gar yake ya kwanza kwa mkopo hatimae akapat na kiwanja na ndoa ikafuata. jamaa maden yaliong...