TAMBUA UWEPO WAKO KWA KUUNGANA NA MTUMISHI WA MUNGU MASUNGA
TAMBUA UWEPO WAKO. habar ya muda huu mpendwa unaesoma ujumbe huu. kutambua kitu alichokuumbia mungu hapa ulimwenguni inahitaji upeo wa ziada. watu wengi tumeshindwa kufika mafanikio kwasababu hatujui tupo hapa kwa kusudi gani. ninae rafiki mmoja alikuwa akipenda sana kuwa faza wa kanisa toka akiwa mdogo. alisoma kwa bidii sana na alipohitimu kidato cha sita kutokan na uwezo wak mkubwa katka kupambanua hoja waalimu wake walimshauri akasome sheria. kweli alichukua shahada ya sheria na akaajiriwa kama mwanasheria na benk moja kubwa hapa nchini. baadae akashauriwa na wenzake kuwa anauwezo mkubwa san kweny maswala ya uongoz hivyo aliamua kwenda kusoma shahada ya pili hii alisoma utawala na baadae akaajiriwa na taasisi moja isiyo ya kiserikali. hata hivyo alichotegemea kukipat eti kwakuwa na elimu kubwa hakukipata hatima yake mshahar haukutosha aliamua kuanza kuingia kweny mikopo. alinunua gar yake ya kwanza kwa mkopo hatimae akapat na kiwanja na ndoa ikafuata. jamaa maden yaliongezek hat ikafik hatua akaanza kuamin kuwa hakun maisha bila mikopo. hatimae akajikuta anaenda kukopa pesa kwaajili ya kulipa. siku moja akakutana na fursa katika mitandao ya kijamii ilikuwa ni aina ya fursa inayoonekana ya hovyo hasa kwa nchi za afrika kutokan na upeo wetu mdogo wa kuchambua mambo. laa hasha ilikuwa ni network marketing. bwan huy kwa kuwa ni msomi tena mweny cheo kazin lakin mweny salary slip iliyojaa makat karibia mabenk yote aliamua kupuuza fursa hiyo. siku moj alikutana na rafiki yake anaendesha gar mpya baada ya kuongea ili na lile jamaa akaeleza namna alivyoipat fursa ile na kuitumia vema. baada ya kuambiwa maneno ya ukweli kuhusu mafanikio yake rafiki huyo aliamua kuanza biashara hiyo kwa muda wake wa ziada. kipato kikakuwa na kuongezek akalipa madeni na baadae kuamua kuacha kazi na kufanya biashar hiyo muda wote. sasaivi anasema alitambua aliumbwa na mungu ili kuwasaidia wengine na kwa kufanya hivyo sasaivi amefanikiwa sana. sasa je wew unatambua ni kwanin upo hapa duniani? kutambua kwako sababu ya kuwepo hap hutokubali kuupoteza muda uliopewa na muumba wako. ili kuufahamu mfumo huu wa network marketing na jinsi utakavyoweza kukufikisha mbali kimafanikio waweza kuicheki pia. pia usithubutu kufanya kosa kweny kuchagua kampuni nzuri maana unaweza kuuchukia mfumo mzima kwasababu ya kampuni moja tu. by ambassador for change mr MASUNGA 0714020104.
Comments
Post a Comment