Posts

Showing posts from March, 2017

ZITTO: NECTA HAWATAMBUI ALBERT BASHITE WALA PAULO MAKONDA

Image

Amazing one tulia kwa yesu

A I C CHANGOMBE VIJANA CHOIR TULIA http://youtu.be/IqwmnWQFjF0 Powered by TubeMate (http://tubemate.net)

Noma Sana..Serikali ya Magufuli Yataka Trilioni 31.6 za Matumizi Tu...!!!

Image
Serikali imewasilisha bungeni mapendekezo yake ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2017/18 na inatarajiwa kukusanya na kutumia kiasi cha Sh 31.6 trilioni. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango ameyasema hayo jana wakati akiwasilishwa mapendekezo hayo bungeni mjini hapa. Pia, fedha za maendeleo zimeongezeka kutoka Sh11.8 trilioni mwaka 2016/17 hadi Sh11.9 trilioni mwaka 2017/18 sawa na asilimia 38 ya bajeti yote.

RATIBA YA MIHULA MIPYA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI YATOKA, WANAFUNZI WA BWENI WAKUMBUKWA

Image

Mbowe: Magufuli Akishinda 2020 Najiuzulu Siasa  Siasa

Image
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema Rais Dk. John Magufuli atakuwa kiongozi wa kwanza nchini kuvunja rekodi ya kutawala kwa kipindi cha miaka mitano badala ya 10 kama walivyofanya watangulizi wake.  Mbowe aliyasema hayo jana wakati akizindua tawi la wakereketwa wa chama hicho lililopo eneo la Mpakani, Kata ya Kwakifua, Wilaya ya Muheza mkoani Tanga.  Katika hoja hiyo, Mbowe alisema Rais Magufuli ataongoza kwa muhula mmoja kwa kuwa utawala wake hauthamini utu wa binadamu, na ikiwa vinginevyo, yuko tayari kuachana na siasa. “Watu wa Tanga mmechelewa sana kuiondoa CCM madarakani, tulifanya makosa kumchagua Rais wa Awamu ya Tano, matokeo yake wote tunaisoma namba. Tunaanza maandalizi mapema, maana huyu rais atatawala miaka mitano na akiendelea naacha siasa,” alisema Mbowe. #Mtanzania .  JE NI KWELI ANAYOSEMA MBOWE??? TUPIA COMMENT YAKO HAPA

Hatua Nne Za Kufikia Malengo Yako Kwa Uhakika Mkubwa...!!!  mafanikio

Image
Kila mtu katika maisha yake ana malengo maalumu ambayo anakuwa amejiwekea na anakuwa ana waza kwamba kwa namna yoyote ni lazima baada ya muda fulani malengo yake yatatimia. Pia sina shaka na wewe, naamini umejifunza kwa sehemu namna au mbinu ambazo mtu anaweza akazitumia kuweza kufikia malengo yake. Lakini leo hii, si vibaya kama nitakung’ata sikio kukumbushia tena jinsi unavyoweza kufikia malengo yako kwa uhakika mkubwa. Najua kila mtu ana njia zake na mbinu ambazo anazitumia kuweza kufikia malengo yoyote katika maisha. Leo hii, naomba nikuonyeshe mbinu ambazo zinatumiwa karibu na watu wote wenye mafanikio makubwa kufikia malengo yao kila wakati. Andika malengo yako chini. Yaweke malengo yako kwenye karatasii ili yawe rahisi kuyaona. Yawe ni malengo mahsusi ambayo utekelezaji wake unafikika na uwe tayari umejiwekea tarehe maalumu ya kuyafikia. Hio ndiyo sifa ya malengo unayotakiwa kuwa nayo. Anza kuweka mipango. Umesha andika malengo yako tayari. Hatua inayofuata ni kwa wew...

Kimenukaa..Siku Chache Baada ya Kutoa Wimbo Unaoiponda Serikali,Nay wa Mitego Akamatwa na Polisi..!!!  Nay wa Mitego

Image
Nay wa Mitego amedai amekamatwa na polisi wilayani Mvomero, Morogoro alikokuwa ameenda kwaajili ya show. Hajasema sababu ya kukamatwa kwake lakini watu wanahisi ni kutokana na wimbo wake Wapo ambao umemkosoa vikali Rais Dkt John Magufuli. “Nimekamatwa kweli. Muda Huu nikiwa hotel Morogoro baada ya kumaliza Kazi yangu iliyo ni leta. Napelekwa Mvomelo Police,” ameandika rapper huyo mtata. “Nawapenda Watanzania wote.

Kutana na mr Deo Simulizi ya SHIDA ZA MATAJIRI

Image
SHIDA ZA MATAJIRI (the Rich's broblems)  -01 Deo Massawe,+255769297430. Ikiwa ni siku ya thelathini na tisa tangu Bahati azaliwe baba yake aliendelea kuumia ndani ya moyo wake kwani aliwaza ni kwa jinsi gani angeweza kumtoa mwanae sadaka, "mimi  na mke wangu Janeth tumeteseka kwa miaka mitatu tukitafuta mtoto,sasa tumempata na anastahili kutolewa sadaka,nitafanyaje?" alijisemea baba bahati. Mda ulizidi kusogea hatimae pakapambazuka,mama bahati aliamka na kwa haraka aliingia bafuni,kwani siku hiyo ilikua aende hospital huku nae baba Bahati akihitajika kufanya mauajia ya mtoto huyo ili asalie na utajiri aliokua nao.                  ***** Kwa upendo Janeth aliokua nao kwa mwanae basi kila alipokua anatoka  chumbani alihakikisha anashusha chandarua.   Watoto wa jirani mara  nyingi waliwahi nyumbani kwa Brayson ambae ndio baba wa Bahati, walicheza michezo mbali mbali ndani ya ...

amazing photi

Image

Mo Dewji Kuikabidhi Simba Mikononi Mwa Juventus ya Italia..!!!

Image
Mohammed Dewji amepanga kuiunganisha Simba kwa Juventus ya Italia. Tajiri huyo namba moja kwa sasa hapa nchini alitua Italia katika klabu hiyo mapema wiki hii na kufanya nao mazungumzo juu ya kuinua soka la Tanzania. Akiongea na mtandao wa Salehjembe, Dewji amesema, “Wiki hii nilifanya kikao na Juventus FC. Wanayo nia ya kuendeleza soka kwa vijana wa Tanzania. Ninatazamia kuitambulisha timu hiyo ya Italia kwa uongozi wa Simba SC ili waanze majadiliano ya jambo hilo.” Juventus imekuwa ikishirikiana na baadhi ya nchi za Afrika katika kuendeleza mchezo huo ikiwemo Libya (wakati ikiwa tulivu), Tunisia, Morocco na Misri.

happy sabato

Image

Kazi Immeanza Rasmi..Waziri Mpya wa Habari Aaanza na Sakata la Makonda Kuvamia Clouds,Ametoa Kauli Hii...!!!!

Image
Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo amejibu swali la waandishi kadhaa wa habari waliomhoji mapema leo baada ya kuapishwa katika viunga vya Ikulu Jijini Dar es Salaam. Waziri Mwakyembe amenukuliwa akisema maneno yafuatayo juu ya sakata hilo lililotikisha vichwa vya habari nchini kwa juma moja sasa. "Ninachokijua kuhusu tukio la Clouds Media kinatokana na vyombo vya habari, sidhani kama taarifa hizo zinatosha mimi kutoa uamuzi"-Waziri Mwakyembe

BADILISHA MUONEKANO WA NGUO ZAKOOOO

Image

Young Killer Aeleza Nia Yake ya Kuja Kuwa Mbunge au Diwani 2025

Image
Rapper kutoka Rock City Mwanza Young Killer Msodoki ameitaja sababu ya yeye kutaja taja Mwanza kwenye ngoma zake kama njia moja wapo ya kutengeneza njia hapo baadaye. Kupitia kipindi cha Zero Planet ya Ice Fm Msodoki aliulizwa endapo ashapata nafasi ya kuongea au kuitwa na viongozi wa mkoa wa Mwanza kutokana na anavyopeperusha bendera ya jiji hilo kwa mifano ya huko kwa wenzetu Drake alipewa tuzo ya heshima huko Toronto, Fetty Wap pia ashapewa Tuzo hiyo kwa kuitangaza miji yao na Ma-Mea wa miji. “Siitangazi Mwanza kwasababu ya kuonekana ila nafanya kwa mapenzi yangu mwenyewe familia yangu yote ipo kule na mpaka sasa na wakilisha kule ndiko nimejifunza vitu vingi zaidi pia tutegemee kitu chochote kwenye 2025 huko huwezi jua ishu nzima ya Ubunge au udiwani ndio kitu ambacho….” amefunguka Killer

kesho miaka 50 azimio la arusha

Image

Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya Kijamii..

Image
Akiongea leo wakati anaapisha wateule wapya Ikulu. Amesema mitandao yetu ni ya ovyoovyo na inaandika mambo ya ajabu ajabu. "Jana nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa eti Mwakyembe hawezi kuja kuapishwa, na mimi nilikuwa nasubiri asifike nione. ''Sasa si huyu hapa amefika" Ameongeza kuwa..... "Jana kuna mwingine kapost Kinana kuongea na waandishi wa habari kesho, wakati ukweli Kinana nimemtuma India Kwa siku kumi na mbili" Amewaonya wamiliki wa vyombo vya habari kwa kuzipa nafasi habari mbaya mbaya tu, "mfano kuna tv habari za migogoro ya wafugaji ndio wanaipa nafasi kubwa zaidi, amesema hayupo tayari kuvumilia hayo mambo. Ameshangaa magazeti ya leo kujaza mbele picha ya mtu mmoja, na hata kurasa za ndani kujaza habari hiyo hiyo. Amemwambia Mwakyembe akasimamie kwa umakini hasa tasnia ya habari, amesema hayupo tayari kuona nchi ikichezewa..l Ameshangaa kutangaza kutoandika habari za mtu, wakati huo huo wanaandika mbaya tu.... "Kama hamt...

Kimenukaa...Familia ya Makonda Yaanika Ukweli Wote Juu ya Jina la Bashite,Wadai ni Lake Kabisa,Wamshangaa Kujiita Paul,Wadai Toka Apate Madaraka Kawasusa Huko Kijijini..!!!!

Image
Mzee Khamesse Kutokana na kuwepo kwa taarifa za Paul Makonda kulelewa katika familia ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Mwanza, Seleman Khamesse, JAMHURI limefika nyumbani kwa Mzee Khamesse, katika eneo la Nyamanoro, jijini Mwanza na kufanya mahojiano; JAMHURI; Kuna taarifa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewahi kuishi nyumbani kwako. Je, ni kweli? KHAMESSE; Ni kweli Daudi alikuja kwangu akiwa darasa la tano akitokea kijijini kwao, Koromije na kisha kuishi hapa na familia yangu. JAMHURI; Mbona unasema uliishi na Daudi wakati nimekuuliza kuhusu Paul Makonda? KHAMESSE; Ni kweli nimesema Daudi kwa sababu namfahamu kwa jina hilo. Amekuja kwangu akitokea kwa wazazi wake waliokuwa wakiishi Koromije, na jina lake ni Daudi Albert Bashite. Wakati shangazi yake ambaye ni mke wangu mdogo (Mama Khamesse) anamleta hapa alikuwa akitumia jina hilo na hata alipopelekwa shule alikuwa akitumia jina la Daudi Bashite wakati anasoma Shule ya Msingi Nyanza. Hata wakati anakwenda kuanza s...

Ukweli Mchungu...Ugumu wa Magufuli Kumtumbua Makonda Uko Hapa..

Image
Kama Mtanzania niishie Dar es Salaam kuna mambo hupaswi yakupite. Wengi walikuwa wakitegemea mheshimiwa Rais kumtupilia mbali Makonda/Bashite ila haijawa kama mategemezi ya wengi kuwa hivyo. Hii inatokana na sababu mbalimbali kama zifuatazo i) Vita ya Dawa za Kulevya. Wengi tunajua vita hii ilivyo ngumu na hii ndo iliomfanya mpaka siri zake zikafichuka na raisi mwenyewe akaisapport hiyo vita na kutaka iendelee. Sasa leo hii akimtumbua kwa visa vilivyoibuka kutokana na madawa ya kulevya itakuwa ni usaliti na kutokuwa na maana. ii) Kuna watu wanaopinga kila kitu afanyacho Rais, hapa nasemea Instagram pamoja sana sana pamoja na wanasiasa wanaopinga kila kitu kinachofanywa. Imagine mtu anapinga hadi kuletwa kwa ndege au flyover zinajengwa mtu anapinga   (watanzania hatuko serious) Kuna hadi wengine wanataka ufisadi urudi ili maisha yapungue ugumu. Wengine wakawa wanasema ni mpango wa ikulu kumtuma afanye hivyo ili wamtoe wafunike skendo na udhaifu wa serikali. Mtu kama huyu utafat...

BBC

[BBC SWAHILI] Pata Habari za kuaminika kiganjani mwako ukiwa na huduma ya BBC. Tuma neno BBC kwenda 15596 kujiunga kwa Tsh100/Siku. Kwa huduma za ziada, Piga*149*64#. Ahsante!

Kimenukaa..Gazeti la Dailymail la Uingereza Waandika Mazito Baada ya Nape Nnauye Kutumbuliwa Uwaziri..!!!

Image
Tanzania's information minister was fired on Thursday after he criticised an ally of President John Magufuli who had stormed into a television station accompanied by armed men. The sacking comes amid an uproar over the incident at one of Tanzania's main private broadcasters, seen as yet another example of the government riding roughshod over basic freedoms since Magufuli came to power in October last year. On Friday, Dar es Salaam regional commissioner Paul Makonda stormed into the offices of the Clouds FM Media Group with six armed men to demand the airing of a muckraking video aimed at undermining a popular local pastor with whom Makonda has a dispute. The station refused to broadcast the video in which a woman claims to have had an illegitimate child with the pastor. Information Minister Nape Nnauye visited the station in the wake of the intrusion and launched an immediate probe. "We are used to seeing such incidents during coups d'etat, when armed men enter s...

book

https://books.google.co.tz/books?id=AraxtmCQGk4C&printsec=frontcover&dq=story&hl=en&sa=X&redir_esc=y#v=onepage&q=story&f=false

kwaresima

Image
Kwaresima iwasaidie waamini kutafakari Fumbo la Msalaba na Dhambi

dadangu mpendwaaaa

Image
Image
Tanzania, Rwanda na Burundi zimeorodheshwa kuwa kati ya nchi zenye watu wasio na furaha Duniani. Rwanda iko nafasi ya 151 , Tanzania nafasi ya 153 huku Burundi ikiwa nafasi ya 154 kati ya nchi 155. Norway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani, kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa na kumshinda jirani yake Denmark, ambayo ilichukua nafasi ya kwanza mwaka uliopita. Ripoti hiyo inaangazia furaha watu waliyo nayo na ni kwanini. Denmark, Iceland, Uswisi na Finland zinachukua nafasi tatu za kwanza huku nchi ya Jamhuri ya Afrika ya kati ikichukua nafasi ya mwisho kati nchi zenye watu wasio na faraha duniani. Mataifa ya magharibi mwa Ulaya na Marekani pia nayo yako na watu wenye furaha duniani wakati Marekani ikichukua nafasi ya 14 na Uingereza nafasi ya 19. Nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara na zile zinazokumbwa na mizozo, zina alama za chini.  Syria ilichukua nafasi ya 152 kati ya nchi 155 huku Yemen na Sudan Kusini, huku nchi...

injili

http://www.elct.org/TechServ/Radio/RVOGSITE/documents/index.html

safina redio

https://myradiostream.com/mobile/safina

pc

Image

pc

Image

nomaaaaaa sanaaa

Image

population

Image
Image

gooo

morning