Kimenukaa..Siku Chache Baada ya Kutoa Wimbo Unaoiponda Serikali,Nay wa Mitego Akamatwa na Polisi..!!!  Nay wa Mitego


Nay wa Mitego amedai amekamatwa na polisi wilayani Mvomero, Morogoro alikokuwa ameenda kwaajili ya show.

Hajasema sababu ya kukamatwa kwake lakini watu wanahisi ni kutokana na wimbo wake Wapo ambao umemkosoa vikali Rais Dkt John Magufuli. “Nimekamatwa kweli. Muda Huu nikiwa hotel Morogoro baada ya kumaliza Kazi yangu iliyo ni leta. Napelekwa Mvomelo Police,” ameandika rapper huyo mtata.

“Nawapenda Watanzania wote.

Comments

Amani Fredy

SUA: SIFA ZA KUJIUNGA NA CHUO KWA KILA KOZI 2017/2018

RATIBA YA TIGO FIESTA 2017 NA LIST YA WASANII WATAKAOKUWEPO (TUMEKUSOMA)