Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) YASHUSHA GHARAMACZA KUPIGA SIMU MITANDAO YOTE

Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) yashusha gharama za kupiga simu kutoka Sh. 26.96 kwa dakika moja hadi Sh.15.60 kuanzia 2018.

Mkurugenzi wa TCRA, Mhandisi James Kilaba amesema gharama hizo zitaendea kupungua kila mwaka hadi kufikia Sh. 2 mwaka 2022.

Kilaba ameeleza kushuka kwa gharama kutachochea idadi ya watu wanaotumia mawasiliano ya simu na kuongeza pato la watoa huduma na taifa kwa ujumla

Comments

Amani Fredy

SUA: SIFA ZA KUJIUNGA NA CHUO KWA KILA KOZI 2017/2018

RATIBA YA TIGO FIESTA 2017 NA LIST YA WASANII WATAKAOKUWEPO (TUMEKUSOMA)