MANGE Kimambi Ampigia Magoti Rais Magufuli...Amuomba Ampe Ukuu wa Mkoa

By @mangekimambi_ .
Naomba mnisadie kumfikishia ujumbe huu Mh. Rais, Nilikuwa naomba anifikirie kwenye nafasi ya ukuu wa Mkoa huko Moshi, sitomuangusha, nitapiga kazi Bashite nyuma......kwenye mkoa wangu kila mtu atakuwa CCM la sivyo ntamfukuza kwenye Mkoa wangu na atakosa wa kumtetea...Yani wachaga wajipange!!
.
.
Mwambieni Mzee Siasa sio uadui, tusameheane tusahau yaliyopita.....
.
.
.Mwambieni he needs someone like me in his team, I can imagine how strong we are going to be, me him and Bashite! Hakika tutawanyooosha! .
.
.

I know im over qualified for the job since I can do more than read and write, I hold a masters degree! Lakini niko tayari kuchukua kazi ambayo iko beneathe me...
.
.
Naomba mniombee 🙏.
.
JE MANGE ATAWEZA???? .
TOA MAONI YAKO HAPA

Comments

Amani Fredy

SUA: SIFA ZA KUJIUNGA NA CHUO KWA KILA KOZI 2017/2018

RATIBA YA TIGO FIESTA 2017 NA LIST YA WASANII WATAKAOKUWEPO (TUMEKUSOMA)