Posts

Showing posts from May, 2017

SUA: SIFA ZA KUJIUNGA NA CHUO KWA KILA KOZI 2017/2018

Image
SUA: SIFA ZA KUJIUNGA NA CHUO KWA KILA KOZI 2017/2018 Published Under Admission SHARE TO HELP SOMEONE WIN A JOB OR SCHOLARSHIP TODAY! General Admission Requirements Admission will be granted if a candidate meets the minimum requirements as shown in this section and under specific programmes or as determined by SENATE and in accordance with the capacities of the respective degree programmes. The minimum requirements for admission of direct entrants into undergraduate degree programmes shall be TWO PRINCIPAL LEVEL PASSES (4.0 points of the current NECTA grading system) in the Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE) level save for as would be amended from time to time by Senate. An equivalent candidate for undergraduate programmes shall be required to have a Diploma with a GPA of not less than 2.7 and a minimum of FOUR passes or THREE credits in relevant subjects in the certificate of Secondary School Education Examination (CSEE; O-level). Candidates seeking...

TAHARIFA MUHIMU KUTOKA TCU KUHUSINA NA VIGEZO VYA UDAHILI WA WANAFUNZI WA DEGREE 2017/2018 SOMA HAPAA

Image
http://tzjobconnection.blogspot.co.ke/2017/05/tcuchange-of-procedure-for-admissions.html, Tanzania Commission for Universities PUBLIC NOTICE Change of Procedure for Admissions to Undergraduate Programmes for 2017/18 Academic Year/ Taarifa kwa umma kuhusu mbadiliko ya udahili wa ngazi ya shahada kwa mwaka 2017/18 The Tanzania Commission for Universities wishes to inform all the prospective applicants for admission into various undergraduate degree programmes, all Higher Learning Institutions, stakeholders and the general public that, following the government directives as from 2017/18 academic year application and selection of students for various Degree Programmes offered by Higher Learning Institutions shall be conducted directly by Institutions. By this notice all prospective higher education applicants are directed to apply and submit their applications for admissions to the respective Higher Learning Institutions once advertised. The Commission wishes also to inform the Public...

RAISI AFANYE UTEUZI WA NAIBU MPYA WA TAMISEMI KUJUA NI NANI NA SABABU YA UTEUZI BOFYA HAPA

Image

MANGE Kimambi Ampigia Magoti Rais Magufuli...Amuomba Ampe Ukuu wa Mkoa

Image
By @mangekimambi_ . Naomba mnisadie kumfikishia ujumbe huu Mh. Rais, Nilikuwa naomba anifikirie kwenye nafasi ya ukuu wa Mkoa huko Moshi, sitomuangusha, nitapiga kazi Bashite nyuma......kwenye mkoa wangu kila mtu atakuwa CCM la sivyo ntamfukuza kwenye Mkoa wangu na atakosa wa kumtetea...Yani wachaga wajipange!! . . Mwambieni Mzee Siasa sio uadui, tusameheane tusahau yaliyopita..... . . .Mwambieni he needs someone like me in his team, I can imagine how strong we are going to be, me him and Bashite! Hakika tutawanyooosha! . . . I know im over qualified for the job since I can do more than read and write, I hold a masters degree! Lakini niko tayari kuchukua kazi ambayo iko beneathe me... . . Naomba mniombee 🙏. . JE MANGE ATAWEZA???? . TOA MAONI YAKO HAPA

MWANAUME USIOE MKE KWA AJILI YA WATU WENGINE, kutana na mwl Edward

Image
SOMO : MWANAUME USIOE MKE KWA AJILI YA WATU WENGINE MWL: EDWARD KISUSU Shalom shalom acha leo ni wakumbushe wanaume wote ambao wameoa ama hawajaoa na wale wanaohitaji kuoa *USIOE MKE KWA AJILI YA WATU WENGINE* kuna baadhi ya wanaume wanaoa mke kwa ajili ya watu wengne *Zifuatazo ni dalili na mambo ya mwanaume aliyeoa mke au anayetaka kuoa kwa sababu ya watu wengne* *Dalili 1. HUCHAGUA SANA SURA,SHEPU NA RANGI* hii ni dalili namba 1 ambayo imechukua nafas kubwa kwa mwanaume anayeoa kwa ajili ya wengne hutafuta mwanamke mzuri mwenye shepu nzuri na rangi angavu ili kila anapopita watu wamsifie waseme kweli jamaa ameoa mwanamke Mzuri sana dah *Dalili 2.HUPENDA SIFA SANA* mwanaume aliyeoa mke kwa ajili ya watu hupenda sifa sana hata akikaa mahali yeye huwa kazi yake ni kuponda wake za wanaume wenzake kuwa walikosea kuoa wameoa wanawake wabaya hata huogopa kutembea nao mitahani na mambo mengi humsifia mke wake ambaye mtaa mzima hutangaza ni mzuri *Dalili 3. KABLA YA NDOA HUWA NA MAJ...

TAMBUA Faida Kuu 4 Utakazozipata Kama Ukiacha Kulala na Simu Yako Kuanzia Leo..!!!  Afya, Makala leo

Image
Wengi wetu naamini tumekuwa na kajitabia kakulala na karibu na simu usiku kwenye vitanda vyetu pasipo kufahamua madhara ya kijitabia hicho. Sasa leo ninayo mambo kadhaa yakukwambia msomaji wangu wa www.dkmandai.com kuhusu hii tabia ya kulala na simu usiku. Zifuatazo ni faida utakazozipata endapo utaacha kulala na simu usiku kitandani kwako. 1.Utalala usinginzi mzuri na wa kutosha. Inaaminika kuwa mtu ambaye hulala karibu na simu  usiku hulala usingizi wa mang'amng'amu kwa kuwa muda mwingi huwa akihisi huenda kunasimu itaingia. Hivyo endapo kuanzia leo ukiacha kulala na simu usiku itakusaidia kulala usingizi mzuri na wa kutosha usiku. 2. Hautakuwa mtumwa wa msongo wa mawazo tena Kwa kawaida unapolala na simu unakuwa unamawazo mengi pengine bila wewe mwenyewe kujijua huenda unawaza kwanini fulani haja kupigia usiku huo au atakupigia saa ngapi kukwambia usiku mwema hivyo unajikuta unajipatia msongo wa mawao usio na sababu na hivyo kuathiri afya yako bure. Ili kuondokana na h...

HUMPHFREY Pole Pole Apewa mazito na Mange Kimambi baada ya kumchokoza Issue ya Kinana...Mange Amtolea Uvivu  Mange Kimambi, Siasa

Image
Baada ya Pole pole kuandika hiyo post hapo juu ikiwa imemtaja Mange Kimambi, Mange akaamua kumtolea  uvivu kama ifuatavyo : . #Regrann from #mangekimambi_ - : "PolePole Tokea uwe katibu uenezi wa CCM ile brain ya kuongea mapoint mazito mazito imetoweka kabisa Yani. Hivi PolePole unakumbuka ulivyokuwaga unawa-inspire watanzania kwa jinsi ulivyokuwaga unaongea mapoint mazitoooooo. Siku hizi unaongea kama Bashite. Huna point, unajibu vitu bila busara, unajibu mambo kiwepesi wepesi... . . Hivi Kweli Polepole kweli kati ya yote niliyosema point kubwaaaaa uliyoiona wewe ni Mimi kusema Kinana ameacha kufanya kazi za Chama???? And it's 100% true kinana amegoma kufanya mambo ya chama mpaka Baba Bashite A.k.a mwenyekiti wa CCM akamueleze why alimuitia TISS. Kinana alishikiliwa Na TISS nyumbani kwake for over 2 weeks... . Kwa issue ya Kinana alivyokaaa vibaya kwa Sasa ilibidi nyinyi kama chama muwatoe hofu wana CCM Na watz kwa ujumla kwa kuweka wazi data kuwa siku ile Rais anasem...

RAHISI WA JAMUHURI WA MUUNGANO APOKEA KWA MSHUTUKO NA MAJONZI TAARIFA YA VIFO VYA WANAFUNZI 32, WALEZI WAO 2 NA DEREVA1

Image

FAHAMU Njia Nne (4) Za Kuboresha Maisha Yako Sasa...!!

Image
Kwa jinsi unavyobadili mtazamo wako, ndivyo unavyozidi kujikuta ukibadilisha na maisha yako pia. Maisha yako ni lazima yabadilike kama una badili mtazamo wako kila wakati, hilo halina ubishi. Kuna wakati katika maisha tunajirudisha nyuma sana kwa sababu ya kuwa na mitazamo finyu, mitazamo hasi ambayo haitusaidii. Ili kufanya maisha yako kuwa bora na ya mafanikio unalazimika kubadili mtazamo wako. Katika makala haya, tutakupa njia muhimu ambazo ukizitumia, kwanza zitakusaidia kubadili mtazamo wako , na pia si hivyo tu zitakusaidia kubadili na kuboresha maisha yako;- 1. Fanya mambo yako kwa utofauti. Mbinu bora ya kuboresha maisha yako sasa ni kufanya mambo yako kwa utofauti. Kama ni kazi fulani ifanye kwa utofauti. Kama ni kutembelea eneo fulani ulilolizoea hebu libadilishe na kwenda sehemu nyingine. Hali zote zile za mazoea ambazo umekuwa ukiziishi naomba uzibadilishe na kuzifanya kwa utofauti. Ukifanya hivyo utashangaa kuona maisha yako yakibadilika na kuwa ya  tofauti na maf...

TAZAMA YALIYO JIRI MAGAZETINI LEO 03 May 2017

Image

TAZAMA YALIYOJIRI MAGAZETINI LEO 2 May 2017

Image

Rais Jacob Zuma azuiwa kutoa hotuba ya mei mosi Afrika Kusini

Image
Rais wa Afrika Kusini anayekumbwa na kashfa Jacob Zuma, ameondoka kwenye mkutano wa siku ya kimataifa ya wafanyazi baada ya kukemewa na wafanyakazi wanaomtaka ajiuzulu.  Fujo zilizuka kati ya wafuasi wa Bwana Zuma na wapinzani na kusabababisha hotuba yake kufutwa.  Chama kikuu cha wafanya kazi Cosatu, kilimtaka Bwana Zuma ajiuzulu mwezi uliopita baada ya kumfuta kazi waziri wa fedha alijekuwa akiheshimiwa sana.  Bwana Zuma ameapa kusalia ofisini hadi muhula wake ukamilike mwaka 2019.  Alionyeshwa na runinga akiondoka jukwaani kwa hasira na kuondolewa na magari kutoka kwa mkutano ulioandaliwa mjini Bloemfontein  Maafisa wa vyeo vya juu wa ANC nao walikemewa kwenye mkutano uliofanyika mjini Durban.  Shinikizo za kumtaka Zuma ajiuzulu zimekuwa zikoongezeka tangu amfute kazi waziri wa fedha Pravin Gordan mwezi Machi. #Bright fredy amani

UNAVYOPASWA Kujibu Unapotakiwa Kuelezea Udhaifu Wako Kwenye Usaili Wa Kazi..!!!

Image
Kwa kawaida watu wengi wanapoenda kwenye usaili wa kazi hufikiria zaidi katika kujitetea kwa uwezo mzuri walionao katika kuifanya kazi iliyotangazwa huku wakisahau kuhusu upande wa pili wa swali hilo. Kumbuka kuwa muajiri anaamini kuwa wewe ni binadamu wa kawaida na sio ‘robot’. Hivyo, mbali na kufahamu uwezo wako wa kufanya kazi angependa kufahamu upande wa pili wa maisha yako ya kawaida. Kwa kuwa hakufahamu, anaweza kukupa nafasi ya kujielezea mwenyewe mapungufu au udhaifu wako kama binadamu. Uzoefu unaonesha kuwa karibia asilimia 90 ya waajiri/waasili huuliza swali hili katika usaili wa kazi. Nitakueleza sababu mwishoni mwa makala hii. Unapaswa kuwa mkweli kiasi, eleza mapungufu hayo katika mtazamo chanya zaidi ili kujiweka katika nafasi nzuri zaidi. Kumbuka, kila unachoongea kwenye usaili lazima kiwe na lengo la kujiuza zaidi kwa mwajiri na sio vinginevyo. Kwanza kabisa unapaswa kuzingatia aina ya kazi ili majibu yako yawe na mantiki wakati wote. Kwa mfano, kama una...