Posts

Pallangyo Tv

Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) YASHUSHA GHARAMACZA KUPIGA SIMU MITANDAO YOTE

Image
Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) yashusha gharama za kupiga simu kutoka Sh. 26.96 kwa dakika moja hadi Sh.15.60 kuanzia 2018. Mkurugenzi wa TCRA, Mhandisi James Kilaba amesema gharama hizo zitaendea kupungua kila mwaka hadi kufikia Sh. 2 mwaka 2022. Kilaba ameeleza kushuka kwa gharama kutachochea idadi ya watu wanaotumia mawasiliano ya simu na kuongeza pato la watoa huduma na taifa kwa ujumla

RATIBA YA TIGO FIESTA 2017 NA LIST YA WASANII WATAKAOKUWEPO (TUMEKUSOMA)

Image
RATIBA YA TIGO FIESTA 2017 NA LIST YA WASANII WATAKAOKUWEPO (TUMEKUSOMA) Tarehe: Saturday, September 09, 2017 Mkoa: Arusha Mahali: Sheik Abeid Karume Tarehe: Friday, September 15, 2017 Mkoa: Kahama Mahali: Uwanja wa Taifa Tarehe: Sunday, September 17, 2017 Mkoa: Musoma Mahali: Uwanja wa Karume Tarehe: Saturday, September 23, 2017 Mkoa: Mwanza Mahali: CCM Kirumba Tarehe: Friday, September 29, 2017 Mkoa: Tabora Mahali: Ali Hassan Mwinyi Tarehe: Sunday, October 01, 2017 Mkoa: Dodoma Mahali: Uwanja wa Jamhuri Tarehe: Friday, October 06, 2017 Mkoa: Iringa Mahali: Uwanja wa Sokoine Tarehe: Sunday, October 08, 2017 Mkoa: Songea Mahali: Uwanja wa Majimaji Tarehe: Friday, October 13, 2017 Mkoa: Njombe Mahali: Uwanja wa Sokoine Tarehe: Sunday, October 15, 2017 Mkoa: Sumbawanga Mahali: Uwanja wa Mandela Tarehe: Saturday, October ...

Semina ya Wanachama wa Simba kufanyika Kesho na Utaratibu mzima hu hapa karbu

Image
Semina ya Wanachama wa Simba kufanyika Kesho na Utaratibu mzima huu hapa SIMBA SPORTS CLUB DAR ES SALAAM 15-8-2017             TAARIFA KWA UMMA ___________ Klabu ya Simba kesho inatarajiwa kufanya Semina kubwa ya Wanachama wote wa klabu hiyo. Semina hiyo inalenga kujenga uelewa mpana zaid juu ya muundo mpya wa klabu, uliotokana na mabadiliko ya katiba yaliyofanywa na wanachama hao,na kusajiliwa na Msajili wa Vilabu nchini. Maandalizi yote ya Semina hiyo yamekamilika,na itafanyika kesho tarehe 16-8-2017,Jumatano Saa Nane na Nusu mchana(8.30) na itafanyikia kwenye ukumbi wa Mikumi uliopo kwenye eneo la maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba (PTA) kurasini hapa jijini Dar es salaam. Tunawaomba wanachama wote popote walipo waje kwa wingi hapo kesho, huku klabu ikiwaomba viongozi wa Simba Wilaya ya Temeke waandae utaratibu mzuri wa kuwapokea wageni. IMETOLEWA NA.... HAJI S MANARA MKUU WA HABARI SIMBA SC SIMBA NGUVU MOJA